Ni mapema kiasi gani unaweza mpima mtoto DNA?

Ni mapema kiasi gani unaweza mpima mtoto DNA?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Habari wataalamu wa Masuala ya Afya.

Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu lenye uhakika wa kitaalamu zaidi.

Kama haiwezekani, basi ni muda upi unakuwa ni sahihi kiafya kumpima mtoto DNA ili kutambua hali halisi ua uhusiano na mtoto?
 
Kupima DNA sio kama kupima Unga dukani...!! Ila ukipitia process zote hata Kichanga kilichopo tumboni kinawezq pimwaaa..
 
"Peace of Mind" DNA unaweza kupima kuanzia umri hata huo wa siku moja.
 
Lea tu mkuu hayo mambo ya DNA yataleta mfarakano tu. Kubali tu kuingia kwenye zile asilimia za mkemia mkuu za wababa wanaolea watoto wasio wao.
 
Washaandaa majibu yao mfukoni??
Hatutaki watoto wa mitaani,tunataka mtoto apate malezi ya baba na mama.......kama umebambikiwa pole mkuu....labda ukapime nje huko ila hapa nijuavyo unapoteza muda tu,chamsingi fungua jumbo account mapema tu
 
Back
Top Bottom