Ni mapema kuilinganisha pair ya Gabriel/Saliba na legendary pair ya Vidic/Ferdinand au Terry/Carvalho

Ni mapema kuilinganisha pair ya Gabriel/Saliba na legendary pair ya Vidic/Ferdinand au Terry/Carvalho

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki.

Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema pair ya vijana wao ni bora kihistoria EPL.

Nakubali kuwa vana Dijk, n Saliba na Gabriel ni wachezaji bora sana ila kusema eti wanawapita Terry, Vidic, ni uzwazu mkubwa sana.

They still have much to prove.

20240924_114255.jpg
 
Back
Top Bottom