Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki.
Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema pair ya vijana wao ni bora kihistoria EPL.
Nakubali kuwa vana Dijk, n Saliba na Gabriel ni wachezaji bora sana ila kusema eti wanawapita Terry, Vidic, ni uzwazu mkubwa sana.