Ni mapngo maalumu kuweni makini

Huwezi elewa nisemalo,mpaka ukutane nalo ila sikumojq utaelewa wanadam ni wajanja sana ogopa sana matapeli wa mapenzi.
 
Huwezi elewa nisemalo,mpaka ukutane nalo ila sikumojq utaelewa wanadam ni wajanja sana ogopa sana matapeli wa mapenzi.
Mkuu wahi hospitali una changamoto kubwa, ugumu wa maisha kwenye jamii unapelekea hii story yako iwe ya kusadikika, amka, zinduka yaweza kuwa unaota, usije ukakojoa kitandani. Thread yako imejaa PUMBA.
 
Vijana wa kikisto wanachukua muda sana kufanya maamuzi ya kuoaa.

Fika makanisani wadada wamejazana wanasali kuomba kupata mume mume boraaa .... vijana wanasali kuomba kupata mafanikio kwa wakati huu ....
 
Waislamu hawajawahi kuwa na mpango wowote wa kutokomeza ukristo tangu uislamu unaanzishwa na wala haitowahi kutokea uislamu kupanga mipango ya kutokomeza ukristo. Vita vyote Waislamu wanapigana huwa nivyakujibu mashambulizi na chokochoko zinaazishwa na wakristo someni history vizuri
 
Kwani lazima watu wote wawe Wakristo?

Watu wakielewana wenyewe kwenye ndoa zao wewe inakuhusu nini?
 
Vijana wa kikisto wanachukua muda sana kufanya maamuzi ya kuoaa.

Fika makanisani wadada wamejazana wanasali kuomba kupata mume mume boraaa .... vijana wanasali kuomba kupata mafanikio kwa wakati huu ....
Huyu kachukua kisa kimoja kafanya ni tatizo la jamii yote. Anaongea vitu ambavyo haviwezekani, watu wapo bize kutafuta riziki, muda wa kudhoofishana kidini utoke wapi!?,..
 
Hilo halizuiliki, dini kwa bongo zitadhoofika kama unavyodhoofika ukabila, intermarriage iko juu sana. Tuko tofauti na majirani zetu wa East Africa ambao hawaoleani kwa sababu za kidini kikabila ama kisiasa
 
Mbona siku hizi wanaotoa shuhuda kwa manabii za kutendewa na Yesu wengi ni waislamu?
 
Kumbe ulikuwa hulijui?
Huu mkakati ni mmoja ya Mikakati ya Dini ya Uislam ya kupambana na Ukristo!
 
Acha urongo wewe. Ukristo haudhoofishwi kizembe hivyo
 
Mmh watu mnapenda udini sana vinawasaidia Nini? Maisha magumu pesa inatafutwa Kwa tabu watu mpo buzy na kujadili vitu ambavyo hatujui ni vya kweli ama laah tumevikuta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…