Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Kivipi mkuu? Yani kweli nimeoa alafu naishia kufukuzia kama demu mpya vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli huyu mama kanizoea sana ndo sababu anaona sina umuhimu wakupewa mibuno...../ ila nikopata replacement kaisha
Nimekupelekea maji yako inbox. Kama unataka kaoge. Mi simo
 
Aisee mimi napenda awe na wivu na mimi h, wala sitomuona msumbufu, imagine mtu hana wivu na yaani fanya unachojiskia wala hajali, hapigi simu mmh hapo hamna upendo. Raha ni hvyo kidogo usipopokea simu anamind, yaani wivu wivu tu flani😍😀
Hahahahahah ili badae umuone zoba uanze kumchiti na mtu asiyejali. Yani mwanamke wa kisasa ukimuonesha upendo anakuburuza hadi ukome
 
Mimi ninapoishika ndipo hapo hapo naiminya. Lakini sipendi mwingine afanye hivyo. Nataka watu wawe systematic lakini mimi niwe free kwa lolote wakati wowote. Ndiyo maana tunaoa kwa ajili ya kukamilishana.
 
1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake

Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu
Ikiwa unayamudu hayo basi jua kabisa kuwa huyo mtu unamzingatia kwa hisia na sio siri lazma ni mtoaji mzuri wa hela kwahio hayo unaona yanavumilika. Ila ingekuwa humpendi nafikiri mwezi ungekuwa mrefu sana kabla hujaanza kulalamika na kumtaftia mbadala.
 
Hahahahahah adhabu yake ni kali kweli
Iwe fundisho kwa wengine.
Wakati mwingine unawaletea umbubu tu.

Nilipata kuishi na demu fulani, ni zile dizaini za kizaramo, kidogo kanuna, anaweza ongea usiku kucha.
Siku moja tumevurugana, kabwabwaja wee, mie nikajipandia zangu kitandani nikalala, asubuhi nimeamka anafanya usafi, mie mzee wa kuflash nikampa hi, anaitikia kama kalazimishwa, nikafanya yangu... Namuuliza tumapiga kifungua kinywa gani, maana ndani kulikuwa hakuna kitu kabiisa mzaga zaga yalikuwa yamekata
Jibu lake sasa
"sijisikii kupika"
Nikavaa nguo zangu, nikaanza kutoka akaniuliza unaniachaje, humu ndani hakuna kitu au ndio unaenda kununua vitu, mie "hapana"
Yeye, unaniachaje sasa, niachie hela ya kula.
Nami nikamjibu sijisikii kuacha hela..
Nikatoka mtaa wa kwanza mtaa wa pili, naenda kwa jini langu moja, napata kifungua kinywa saafi, nakula na kumkula mwanadamu mwenzangu.
Mchana simu, mie nina njaa, sijajibu, usiku simu nina njaa sijajibu, urudi hata na chipsi mume wangu, nikaona huyu tayari kajua kama ana mume.. Nikahakikisha nimekula nimeshiba, nikanunua chipsi kavu nikaeda nazo ananawa ale, nami nikanawa nile, akasema mume wangu vichipsi hivi tule wote, nikamuuliza unataka kula na nani sasa, we umesema hujisikii kupika, sasa nimekula wapi, akajichekesha tukavitafuna viazi, tukashushia na maji usingiz asubuh salam ya kwanza ni umeamkaje mume wangu. 😂
Moyoni nikasema pumbavu kabisa.. Nikajibu salama nae ndio wa kwanza kuuliza tunapiga kifungua kinywa gani.. 😂🤣
 
Hahahahah hakunaga cha shida wala nini ni dharau tu. Mwanamke ukimfanya akuhitaji zaidi ya unavyomuhitaji anakuwaga na adabu. Ila ikiwa vice versa anaona yeye anaanza kuona wewe una udhaifu anatafta mwanaume wa kumburuza na kumfanya akili yake iwe inawaza tu mda mwingi.

Inshort ukimpuumzisha sana mwanamke kihisia hapendagi hio hali. Hata wewe wanaume waliokuwa wapole sana kwako kuna jinsi ulikuwa unawaringia ringia sana. Ila yule mbabe ndio aliyekunyoosha.
Aah hapana why umcheat mtu anayekupenda na kukuheshimu? Wadada hadi kumcheat mtu labda kuwa na shida kuubwa, tuna upendo wa dhati sana sisi 😀
 
hahahahah
hawa bila kwenda nao kindava awaelewi
 
Mwanamke ni kumuacha tu hivyo alivyo. Si kapenda mwenyewe?

-Akikosea,msamaha ni mara moja tuuu. Ya mwanzo na ndo inakuwa ya mwisho.

-Ukifa! Wa kukuzika wapo tuuuu. Kikubwa isikikizie nafsi yako. Kama kaandaa msosi na nafsi inakusuta kula? Hamna kula. Bora uende gengeni.

-Hakikisha mnakula pamoja,hamna cha kukupakulia wala kukutengea sahani. Chukua sahani mwenyewe.

-Watu wote,hata mdada wa kazi au kijana. Mnakula pamoja hapo hapo. Wakijichanganya wakaweka midawa yao kwa makubaliano, mtayala wote. Wakisusa, waachie chakula chao na wewe.
-Kwenye mihangaiko yako na wewe unachoka na unahitaji kupumzika. Asikusumbue. Hama chumba kama kidogo lala na watoto. Akijisogeza, mwambie kesho aende kwa Shida, kwamba na wewe ukiwa na nyege utamuona Tabu.
-anza kujiandaa kuishi maisha yako. Kahela kaku anza kutunza vizuri.

-Usihudhulie vikao alivyoitisha. Kama kakuoa,aitishe. Kama kesi,aende mahakamani.
-Epuka kabisa ushauli wa wanaume. Badhi yao ndo wanampa kiburi baada ya kumbinua.
-Marafiki zake ukiwabamba usiache hata mmoja. Chapa,tembea.

Mengine ongezeeni.

Biashara ya ndoa iliisha miaka ya 1990, baada ya kuingiliwa na ujanja wa kuchovywachovywa.

Mtajua wenyewe
 
Aiseee Mr. Narcissist huyo mtu usimuache.
 
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe, dawa yenu ni sisi kuwa watu tusio tabilika, binafsi sitabiliki... Nashukuru nae anajua hilo, nikiomba msamaha linakuwa limeishia hapo, ila kama atajikuta ndio mwamba ataona rangi zoote za duniani mpaka mbinguni.
Kwakweli inakera kuomba msamaha mtu akajifanya mwamba na kuamsha vilivyolala, tutaacha hako katabia ili tusizione hizo rangi loh
 
Kuna kaukweli hivi, ila kuwa na wivu na wewe haimaanishi ni mnyonge or mpole sana, ni ile wivu wa kawaida tu na huwezi kumburuza.
 
Nakuambia Ex ukipata mtu anaekupenda kila kitu kinakuwa sawa,swala kubwa kabisa linaloudhi ni umalaya tu ndio kubwa na miaka nane hii ya pamoja sijaona hilo ametulia sana,mi mwenyewe ananivumilia maana nna maudhi yangu mengi tu ila cha muhimu ni kupatana na kuelewana na kupeana furaha na kujua nin mnataka kwa mahusiano yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…