Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Hee[emoji28]Hapo kwenye kuminya dawa ya mswaki hovyohovyo mmi nisingeweza kuvumilia yaani ni talaka Moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee[emoji28]Hapo kwenye kuminya dawa ya mswaki hovyohovyo mmi nisingeweza kuvumilia yaani ni talaka Moja kwa moja
Duuh! Me naona ni kama anakuaminia sana ndo mana anafanya hivyo! Take your position,usimuangushe wala usifelishe harakati! Fanya kadri ya uwezo wako na mambo yawe fresh! Huwezi jua,labda hiyo inampa sana amani ya moyo! Wanaume tuna mambo mengi! BTW kusimamia show tu mbona safi? Tena mpunga wote unakaa nao wewe?! Mbona safi tu?! Ishi nalo mkuu! ✌🏽Shida ipo mkuu
Mimi siwez kusimamia mafundi kama yeye, kwanza yy ni mwanaume fnd hawez leta mzaha
Pili uelewa wake na wangu khs ujenzi ni tofaut, why asisimame km mwanaume??
Hlf sasa usidhani hata anajambo la msingi sana la kufanya zaidi ya kaz
Akitoka kazini anapita baa...hapa ndo nakasirikaga mpk nataman ardhi ipasuke
Nimeamua niishi nalo tu
Kaka wifi ana wivu sana itakuwa😀😀😀Bora wewe unajibiwa asante baba, wengine ni wanabisha hawajakosea na wako sahihi.. 🤣😂
Ukishinda hoja utaambiwa basi yaishe.
Nina mwanangu ana majanga, wakati mwingine unaona hata aibu kumtembelea nyumbani kwake.
Mkewe ana kaujeri kakimya kimya, ukimuona ni mpole lakini ni mjeuri kinoooma, mwanangu anapata tabu saana, kuna muda anafikiria kumuacha.
Mie wangu ni kutaka kujua kila kitu in details, ananiboa saana, chochote kile atataka in details, hata apige simu mtu akuongeleshe atakuuliza nani huyo, ndio yupi. 😂🤣 Unamuliza utamjuaje sasa, hata nikikutajia fulani huwezi kumjua 😂, sijui ni kupenda kuongea na simu au vipi
Hata umpelekee zawadi atataka kujua yoote, kama umekopa, umemnunulia na sh ngapi, unajiuliza we unataka kujua nini, yaani ni shughuli pevu 😂
Kingine anapenda mnoo kuongea na simu, bora muwe karibu hii inasaidia, akiwa mbali anapiga simu ataongea mpaka stori zaitaisha, mie mvivu kubonga na FONI naishia kuweka loudspeaker tu.
Sometimes hana stori, anakupihia anakwambia mwanao anakuita, sasa mtoto Mwenyewe ndio bado hajatimiza mwaka vizuri, kuongea haongei, unajua tu hapa nimemisiwa.
Mengine madogo madogo, yanachangiwa na maisha yangu ya awali.
Elewa neno AWALI. lizingatie vema.
Huko ndoani tuvae na vinjuga shughuli sio ndogo 😂😂😂Kumbe kwenye ndoa swala la kuminya dawa ya mswaki hi serious hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Ubishi jamani ubishiiii kwani waha wote lazima muwe wabishii?
😂😂😂😂Leo nimechekaUbishi yaani hata kitu si cha kubishana😁😁
🤣🤣🤣🤣Umbea….. kila jion hua sitakiwi kua karibu na simu wala tv, nikuanza kupewa habari za kitaifa na kimataifa, kabla ya kua nae sikuwahi kujua ni mbea kiasi hiki, umbea ukiwa mpya napigiwa simu nikiwa kazini niwahi nyumban leo kumbe issue ni umbea tu, yan akikosa umbea atanza hata kunipa story za mtoto au wateja wake kazini yan akikosa kabisa ananza kuniletea story za kwenye viseries vya kwenye group zake huko ilimradi aongee tu na kumsikiliza iyo ni lazima sio ombi.
Yani sijui wanaonaje hawajawah kupendwa 😂😂Watu ambao hamjawahi kupendwa jamani 😀😀 mnahisigi ni tamthiliya ama mwingine anaona unamset..
Aqahhh ulimpa nn aiseeee embu tuanzie hapoYani sijui wanaonaje hawajawah kupendwa [emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa siamini mwanaume akipenda analia had mtu alivoniangushia kilio [emoji23] [emoji23][emoji23] aisee hilo tukio silisahau
Hahah upendo tu alikuwa ananipenda alafu mm nilikuwa nachukulia easy tu 😀 Yan Ilikuwa km vile kwenye bongo movie🤣🤣🤣🤣Aqahhh ulimpa nn aiseeee embu tuanzie hapo
[emoji23]hiyo syo bongo movie hlo ni picha la kihindi kabisa Kuch kuch hota haiHahah upendo tu alikuwa ananipenda alafu mm nilikuwa nachukia easy tu [emoji3] Yan Ilikuwa km vile kwenye bongo movie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo vzurii basi mamaa seems pia unakuaga na upendo wa dhati sana ukifall kwa mtu,, sisi wengne na maumivu tu full kuchoshanaaaHahah yani picha la kutisha
Lakini pia Nashukuru sana Mungu Kila niliewah kuwa kwenye maishayake nimeacha alama nzuri kuanzia mpenz,marafiki,ndugu hata majirani ni wote tu
😂😂 Sina uhakika kwa kweli, 😂🤣Kaka wifi ana wivu sana itakuwa😀😀😀
Lete mbususu hiyo tuimilikiSiku nikiolewa nitakuja kujibu [emoji23][emoji23]