Mkeo ana tabia ambayo ndio imevunja ndoa nyingi sana miaka hii.Me wa kwangu shida kubwa aliyonayo ni kwenyw kutoa papuchi tu especially akiwa ameshalala hataki kabisa kuamshwa. Yaani mtagombana hapo, na hutapata kitu na utaishia kununiwa na unaweza kukosa hata wiki 2 au 3. So nimeshajizoelea, nikitaka mambo namuwahi kabla hajalala, mwanzoni ilinipa shida sana baaye nikazoea tu. Kitu kingine anachoniboa ni mkitofautiana kidogo tu kosa liwe lake au lako basi hapo adhabu yake ni kukunyima papuchi😊, yaani hapo atanuna hata wiki na mzigo hupati. Yaani nilishaongea sana kuhusu hii issue lakini wala hajali. Uzuri wake ni mcha Mungu sana kanisani, jumuiya hakosi, watoto analea vizuri, mfuatiliaji wa masomo yao, msafi, mpishi mzuri sana, si mchoyo, kifupi ni mama bora wa wanangu.
Ila kama ujuavyo nyege hazina adabu kwa hiyo kukabikiana na hali hiyo nina single mama wangu mmoja huyo mzuri shape na nn alizalishwaga mapema, nikizidiwa na upriru naenda punguza nyege huko, shida ni cost zake mara nimeishiwa chakula, sijui nimuongezee ada ya mwanae, sijui pango la nyumba, mara gas, mara zamu yake kununua umeme etc.. Wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
Ku-weaponize sex dhidi ya mmeo ni kitu kibaya sana.