Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Msubiri kipigo kutoka kwa Mwarabu.Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Una kila dalili kuwa huna marinda.....Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Yanga wakimpiga Mamelodi 4G, utasikia jamaa wanageuza gia angani kuwa "Mamelodi hii siyo ile yenyewe"Kwa hiyo unamaanisha mechi isichezwe ifutwe akatafutwe chui akutane na yanga? Au,
We vp?
Mchezo utaochezwa hiyo siku ndo utaamua sio hizi porojo zako hapa!
Kwanza lengo la Yanga limevuka lengo alilojiwekea. Hiyo ni kama ziada akipigwa ni kama kapiga.
Makolo mnavyohaha na Yanga l utadhani nyie mnacheza na Lipuli ya Iringa..!!Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Mpira hauchezwi hivyoNasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Mpaka wameisahau mechi Yao,aaahaaMbumbumbu mnashindana kuanzisha uzi wa yanga vs mamelod kila baada ya dk 2,ongeeni ya kwenu au mshatolewa?
Jamaaa boya kweli anafikiri Yanga inazidiwa sana na hao Mamelod.Kwa hiyo unamaanisha mechi isichezwe ifutwe akatafutwe chui akutane na yanga? Au,
We vp?
Mchezo utaochezwa hiyo siku ndo utaamua sio hizi porojo zako hapa!
Kwanza lengo la Yanga limevuka lengo alilojiwekea. Hiyo ni kama ziada akipigwa ni kama kapiga.
Kichaa kimewapanda Kolo.Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
This is called reverse psychology. Makolo wanajua wameshafikia kikomo. Hawana timu ya kumfunga Al Ahly. Timu yao sasa hivi ni mbovu kuliko ile ya mwaka jana walipocheza na Ahly. Mioyoni nwao wanajua kuna uwezekano mkubwa wa Yanga siyo kuvuka robi final tu but hata kufika final. Kwa sababu akimfunga Mamelodi atakutana na Esperance au Asec ambazo ni timu za kawaida sana. Na akifika final timu ambayo ni likely kukutana nayo ni Ahly. Wanajua kwamba Yanga katika ubora wao wanaweza kumfunga Ahly na kuchukua uningwa CAFCL.Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Kwanza mpaka hapa tu tayar kichaka chao cha Robo ya CAF nacho kishafyekwa. Kwakifupi kwasasa hawana cha kusema tena ndio maana ni mwembo wa ramli tuThis is called reverse psychology. Makolo wanajua wameshafikia kikomo. Hawana timu ya kumfunga Al Ahly. Timu yao sasa hivi ni mbovu kuliko ile ya mwaka jana walipocheza na Ahly. Mioyoni nwao wanajua kuna uwezekano mkubwa wa Yanga siyo kuvuka robi final tu but hata kufika final. Kwa sababu akimfunga Mamelodi atakutana na Esperance au Asec ambazo ni timu za kawaida sana. Na akifika final timu ambayo ni likely kukutana nayo ni Ahly. Wanajua kwamba Yanga katika ubora wao wanaweza kumfunga Ahly na kuchukua uningwa CAFCL.
Sasa kwa nini hawa ndugu zetu wanaweweseka hivi? Wanajua katika msimu mmoja Yanga atafyeka vichaka vya kufika robo, kumfunga Mamelodi, kufika nusu final, kumfunga Ahly, na kuchukua ubingwa wa CAFCL.
Kihoro kitakachowapata ni kikubwa.
Kwa hiyo mashabiki wa Yanga waoneeni huruma ndugu zetu. Si mmeona walivyonywea baada ya Yanga kufika final ya CAFCC kichaka chao cha kwanza. Halafu wakapigwa hamsa kama wamesimama kichaka chao cha pili wakamfukuza na kocha.
Sasa hivi vichaka vilivyobaki vikifyekwa watabaki uchi.
Kwa makolo nawashauri kuweni na akiba ya maneno. Hii Yanga itawaumiza sana. Wengi wenu mtahamia Fei Toto FC.
Kwa mara nyingine niwape sifa mashabiki wa Yanga kwa utulivu wenu na maturity yenu mliyoonyesha tofauti na upande wa pili ambao utafikiri ni watoto wa chekechea.
Yanga hii hii imfunge mamelod4?ππππππ acha utani mkuuYanga wakimpiga Mamelodi 4G, utasikia jamaa wanageuza gia angani kuwa "Mamelodi hii siyo ile yenyewe"