Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujingaMsubiri kipigo kutoka kwa Mwarabu.
Yanga habari nyingine haimwogopi mtu, Mikia ni mashahidi mlikula tano zenu safi.
Ni kweli ni Tano za mchongo maana hata sisi Simba tuliuza mechi Kwa utopolo...yaani hawa jamaa michongo kila sehemu.Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujinga
Vipi zile 5 za simba nazo hauziamini?Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujinga
Ha ha haa 😆😆😆Kwa hiyo unamaanisha mechi isichezwe ifutwe akatafutwe chui akutane na yanga? Au,
We vp?
Mchezo utaochezwa hiyo siku ndo utaamua sio hizi porojo zako hapa!
Kwanza lengo la Yanga limevuka lengo alilojiwekea. Hiyo ni kama ziada akipigwa ni kama kapiga.
Ha ha haa [emoji38][emoji38][emoji38]
Kama Mandoga mtu kazi "nikikupigia nimekupiga na ukinipiga nimekupiga pia".
Waoneeni huruma wamechanganyikiwa kichaka chao kimefyekwa hawajui wajifiche wapi.Kolo kelele zimekuwa mingi kama vile wao hawana mechi ya kujadili au kama vile wametumwa kututisha na kutuvuruga kiakili. Nyuzi za yanga zimezidi mno na mbaya wao ndo waanzishaji.
Msiwatishe yanga,kama sisi Simba tulishindwa kuwafunga ni sisi sio wao!!Unavyo wapelekea Moto ...
Toka Jana mpaka siku ya mchezo taifa linahuzika
Hata mlizopigwa nyinyi ni za mchongo?Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujinga