NI marufuku mke kulala na nguo na inashauriwa mume alale na kanzu

NI marufuku mke kulala na nguo na inashauriwa mume alale na kanzu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mke alale uchi asilale na nguo na mume ingefaa alale pia uchi ila kwa sababu za kiusalama kitengo inabidi walau awe na kitu for emergency sasa yafaa alale na kanzu ili aipandishe kama dera wanandoa wa hivyo nawapa nyota nawapa site.vijana wadogo hawawez kuelewa.
 
Hizi ni sera za chama gani? Maana kuna mgombea anamwaga sera za kupiga marafuku uchongaji, uingizwaji, uuzwaji na ulaliaji kitanda cha sita kwa sita. Anapendekeza kitanda cha 2x2 kwa wanandoa. Ukijumlisha na hili lako mleta mada mambo yatakuwa mpwitompwito tuu.
 
1755361558759.jpg
 
Mmm kanzu uwongo mwanaume lala na boxer for any emergency pale kwenye zipu shughuli itafanyika poa tu.

Akija mwizi usiku na kanzu kuruka sarakasi itakuwa kazi sana unaweza mtu ukang’oka meno.
 
Back
Top Bottom