Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

😹 unaweza kukuta rada zenyewe mbovu
Hapana mdau... Hizo mstari black ni specific route kwa ndege haswa zinazofanya Safari ndani au nje ya Tanzania
Hadi macho ya satellite za mabeberu wanayazuia au ni mikwara tu kwa ajili ya vijindege ndege? Vipi drones za mabeberu ambazo haazikmatwi na radar kirahisi?
Hiyo ni no flying zone... Hata za mabeberu zinaonekana labda wazime radar kwa kuishambulia unless hakuna chochotr kitakachokatiza hapo kisionekane... Hadi drone ya Millard ayo
 

Kuna Drones za kisasa Sana anapewa Ukraine Kila siku na Mabeberu zinafika hadi Moscow itashindwa kufika hapo kweli???
 
Kuna Drones za kisasa Sana anapewa Ukraine Kila siku na Mabeberu zinafika hadi Moscow itashindwa kufika hapo kweli???
Hiyo ni special case nyingine mdau...
 
SAFARI BADO NDEFU SANA.
 
Na zile ndege zao za 1970 ndo za kupinga anga.? Labda kulinda angaza sio anga
 
Hamna kitu hapa
 
Wadau kubalini tu .. hilo eneo la Ngerengere hairuhusiwi ndege kukatiza hapo🫵🫵😎.
 
Wadau kubalini tu .. hilo eneo la Ngerengere hairuhusiwi ndege kukatiza hapo🫵🫵😎.

Wewe unazijua Drones za kisasa anazopelekewa Ukraine Kila siku kumtwanga Mrusi???

Ukraine Ina JESHI Dogo hawafiki hata 500,000 lakini kichapo anachotoa kwa Mrusi ni Drones za kisasa kutoka mataifa ya Magharibi.

Zinapigwa hadi Kambi za JESHI za Mrusi zinazorusha ndege zake za kisasa.

Umeona Iran walivyoficha ndege zao chini ya Mahandaki ya milimani. Hiyo ndiyo unatakiwa.
 
USA hapo nawaonaga smart, wanaikimbiza ulimwengu kujiona hata silaa wanazopigia parade ndani ya miaka 5 hazina thamanj tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…