Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali.

Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo.

Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi.

Wazo lako ni muhimu.Karibuni!
 
Power tiller iwe na sehemu ya kukaa unaendesha km treta dogo ingekusa powa sana
 
Mkuu naona kila sehemu tunachangamoto ya vifaa(viwanda) vya kusindika mazao yetu.
mfano nyanya matunda nk.

pia nyezo za kilimo za kisasa zaidi hasa kulima na kuvuna yaani machine ya kulimia na kuvuna hasa mpunga nk
 
Mashine ya kuvunia maembe dodo yaliyoivia mtini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…