Ni mashine ipi nzuri kwa kutotoleshea vifaranga?

Ni mashine ipi nzuri kwa kutotoleshea vifaranga?

Lengo ni ya mayai 600. kwa sina uzoefu wowote kuhusu hizi machine napenda sana kuanza na kitu kidogo kama kujifunza mkuu
jambo zuri sana..kwa upande wa kampuni zinazo tengeneza izi mashine naona wengi huziunda kwa kunganisha parts hasa vijana wa sido na veta haiji kama mashine na jina lake kabisa mkuu.

japo kuna za kichina naziona nisikushauri kwani sijawahi zitumia kama hizi
 
Attachments

  • 1735824731828.png
    1735824731828.png
    1 MB · Views: 4
  • 1735824731688.png
    1735824731688.png
    1 MB · Views: 4
jambo zuri sana..kwa upande wa kampuni zinazo tengeneza izi mashine naona wengi huziunda kwa kunganisha parts hasa vijana wa sido na veta haiji kama mashine na jina lake kabisa mkuu.

japo kuna za kichina naziona nisikushauri kwani sijawahi zitumia
Kuna jama anajiita mwalimu kuku farm yupo youtub,tiktok instagram na fb huwa anauza nimewa kutana nae dodoma ila bado nikawa na mshaka maana yeye alikuwa ana promote kibiashara tu. Ahsante sana nitafanya uchunguzi zaidi
 
Back
Top Bottom