Umenikumbusha kauli ya kuwa atawafanya matajiri waishi kama mashetani, jiwe bhanaKama walikuwa wanaua vijana kwa madawa ya kulevya wacha wakae huko
Kama walikuwa wanahujumu wacha wakae huko
Kama walikuwa wanahujumu raslimali za Taifa wacha wakae huko
Hatuwezi kuwa na matajiri wanaoharibu Nchi
Huu ndio uanaume sasa sio kutetemekea matajiri.[emoji123]Katika utawala wangu Tajiri anaweza fanywa chochote. Ilisikika sauti kutoka Nyikani.
Kumiliki malori na hotel ni utajiri?Ana miliki hoteli na malori
Maskini mwenzako.Aya basi maskini mwenzetu mwenye billioni kadhaa benki