Ni matajiri wangapi wako jela utawala huu?

Ni matajiri wangapi wako jela utawala huu?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Tangu utawala umeingia dimbani matajiri wengi wamechezea nyavu au wako nyavuni mpaka sasa.

1. Papaa Msoffe, Marijani Aboubakar
2. Rugemalila
3. Somaiya (shivacom)
4. Akram Aziz
5. Ladwa (simba plastic)
6. Harbinder Seth
7. Jamal Malinzi
8. Yusuph Manji
9. Hans Pope
10. Ali Khatib Shkuba
11. Dk. Ringo Tenga
12. Rashidi Shamte (six telecom)
13. Peter Noni (TIB)
14. Abdul Nsembo
15. Shamim Mwasha

Endelea..
 
Kama walikuwa wanaua vijana kwa madawa ya kulevya wacha wakae huko

Kama walikuwa wanahujumu wacha wakae huko

Kama walikuwa wanahujumu raslimali za Taifa wacha wakae huko

Hatuwezi kuwa na matajiri wanaoharibu Nchi
 
Umenikumbusha kauli ya kuwa atawafanya matajiri waishi kama mashetani, jiwe bhana
 
Afu ukicheki kwa makini sana, wote hawa ni MAKADA watiifu wa chama letu kubwa!!
 
Hao ni matapeli wa mjini, madalali na wauza unga, hakuna tajiri hapo
 
instagram,

Wakae tu huko jela. Utajiri wa kuuza dawa za kulevya na kuwaharibu vijana ambao ni taifa la leo
waacheni tu wakae hata miaka 100.
 
Back
Top Bottom