kingunknwon
New Member
- Mar 7, 2024
- 4
- 2
Wataalam wa hi sector , naomba kujua matatizo Makubwa munayopitia kwenye hii biashara
Niliyogundua ni dereva siyo muaminifu,gari kuharibika safarini ,najua yapo mengi ila nataka kujua zaidi