K kingunknwon New Member Joined Mar 7, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Nov 3, 2026 #1 Wataalam wa hi sector , naomba kujua matatizo Makubwa munayopitia kwenye hii biashara Niliyogundua ni dereva siyo muaminifu,gari kuharibika safarini ,najua yapo mengi ila nataka kujua zaidi
Wataalam wa hi sector , naomba kujua matatizo Makubwa munayopitia kwenye hii biashara Niliyogundua ni dereva siyo muaminifu,gari kuharibika safarini ,najua yapo mengi ila nataka kujua zaidi
Amani congo Senior Member Joined Jun 20, 2025 Posts 144 Reaction score 312 Nov 3, 2026 #2 Wizi wa mafuta.Vipetoo visivyo rasmi.