Ni matatizo gani yanakukera mtaani unapoishi?

Mimi jirani tunayepakana chumba cha kupanga wakati wanafanya mapenzi wanapiga kelele sana na mimi nipo single basi muda mwingine huwa natoka nje kupunga upepo hadi wamalize
Dah polee sana, hii inazingua mtu apo umechoka unataka kupumzika
 
Kukatika umeme nyumba mbili mbili ya tatu unakuwepo,zinazofata mbili haupo mbili upo....

Wakizima mbili wanawasha mbili nimechoka mie
 
Bafu za kushare ni shida wadada wanajifunga kanga nyepesi wakiwa wanaenda kuoga wanatupa shida sana sisi wanaume.
 
Wanaokesha kwenye kanisa na vipaza sauti vikubwaaa halafu kumbe ni waumini 2 au hata mmoja. Hawajali kuwa kuna wagonjwa, watoto , wazee na hata watu wengine ambao wanahitaji kulala usingizi usiku huo
pole mtani
 
Mtaani kwangu pametulia kama makaburini kila mtu kajifungia tu ndani mwake,ndo maana naongeaga sana kazini najua kuongea tena mpaka kesho! Naumis sana mtaa niliokulia majirani wa kuongea nao wengi,mchana wa jua kali mara unaskia watu wanapigana unaenda kushabikia mara jirani na jirani wanachambana.nahisi mtaa niliokulia watu wana amani zaidi kuliko hapa,wikend wasipokuja marafiki au wamama wauza mboga huongei na mtu ni wewe tu na simu yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
 
moshi wa bangi.. wazee wanapulizia dirishan kwako kbsa.
 
Mimi jirani tunayepakana chumba cha kupanga wakati wanafanya mapenzi wanapiga kelele sana na mimi nipo single basi muda mwingine huwa natoka nje kupunga upepo hadi wamalize
Sema tu hua unajiunga na kifurushi cha CHAPUTA mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…