Mtaani kwangu pametulia kama makaburini kila mtu kajifungia tu ndani mwake,ndo maana naongeaga sana kazini najua kuongea tena mpaka kesho! Naumis sana mtaa niliokulia majirani wa kuongea nao wengi,mchana wa jua kali mara unaskia watu wanapigana unaenda kushabikia mara jirani na jirani wanachambana.nahisi mtaa niliokulia watu wana amani zaidi kuliko hapa,wikend wasipokuja marafiki au wamama wauza mboga huongei na mtu ni wewe tu na simu yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]