Ni matokeo ambayo 'JF Football Pundits' na wenye 'Maono Makali' tuliyatarajia, ila Msimu ujao Simba SC isajili Wachezaji wa uhakika hasa

Mugalu , Wawa , Kanoute na Kagere itoshe tu kusema , tunawashukuru kwa mchango wao . Ni muda sasa wa kuondoka ndani ya simba sc.

Wazawa Bocco , Nyoni , kakolanya , Ali salimu , mwenda nao tuseme imetosha
 
Tutaroga / Nitaroga hatutafungwa nao!!
 
Mleta mada wakati mwingine una muono. Nadhani wakati mwingine bangi ya kwenu Tarime unayotumiaga achana nayo ili utumie vizuri medula oblungata yako. Kudos kwa Uzi huu Kama uongozi wa Simba sc itaufanyia kazi bila shaka Simba itapogress fowrd siyo Kama Sasa Ina reverse gear.
 
Simba eneo ambalo linatia huruma na wanatakiwa wapate haraka watu wa maana n eneo la kiungo kiungo mkabaji simba tunae mmoja tu Tadeo lwanga wengine magumashi kwenye namba nane hatuna mtu bwalya huwa anaruka ruka tu kidogo namba kumi afazal tunae chama
 
Kat
Katika mpira wa kiushindani huwezi kuja na sababu kama hizo kusema kuwa hawawezi kuwa wazuri kwa kila kitu.

Kila nafasi uwanjani huwa ina majukumu yake na mengine ni basics tu, mfano brki wa kati ni lazima uwe na kasi , uweze kucheza tackling,uweze kupiga header.

Beki wa pembeni wa kushoto lazima uwe una uwezo wa kutumia mguu wa kushoto na pia kuutumia kupiga crosses ,pia ni lazima uwe na pumzi za kupanda wakati timu inaenda kushambulia na kurudi wakati mnashambuliwa hii inasaidiana kukabiliana na attacking midfielders .
 
Bado mambo ni yaleyale tu.
 
Bado Yanga atakua bingwa tena 2023/24 kazi mnayo huko kolokoloni
 
Bado Yanga atakua bingwa tena 2023/24 kazi mnayo huko kolokoloni
Ndio kusema kule CAFCC umeshasurrender sasa umerudi huku NBCL? Mwarabu hana adabu aiseee, unasawazisha goli moja kisha kabla vibe halijaisha anakukanda goli la 2, aibu iliyoje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…