Ni matokeo gani ya timu za Tanzania VS Timu za nje yalikuumiza sana?

Unknown2

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
2,352
Reaction score
5,055
Mi hii hapa ndo niliumia sana hadi leo hii..
1. Tanzania vs Msumbiji -2007. Tico Tico anatufunga dakika za mwanzo kabisa afu ndo ilikuwa mechi ya kwanza ya kimashindano kuchezwa uwanja mpya wa taifa.
Hadi leo sinaga hamu na timu yetu.
 
mimi sio bongo iliniuma sana ghana na uruguay halafu ghana na ujerumani halafu jana pia ghana na misri yaani mimi napenda tu vile ghana wanavyo waangaisha bwege wapinzani mwisho kabisa ghana na brazil 2006 so sad
 
Niliumia sana chama langu kukosa vikombe!

  • 2014 W/C final
  • 2015 C/A final
  • 2016 C/A final

Algeria kutolewa na ujerumani robo-fainali niliumia sana' kutokana na soka lao jinc lilivyo tamu nilitegemea hawa ndio wakombozi wetu Africa ....anyway tuone Egypt nawenyewe watafanya nini!!

All the best
Algeria
Ghana
Egypt
Ivory Cost
Tunisia and Nigeria.
 
Siku simba ya Tanzania ilipotubamiza yanga ya India tano bila yaani hata la kusema sina..niliumia sana yaani naamini kipigo kile cha mbwa koko kiliniuma na kitaendelea kuniuma milele
 
Mi hii hapa ndo niliumia sana hadi leo hii..
1. Tanzania vs Msumbiji -2007. Tico Tico anatufunga dakika za mwanzo kabisa afu ndo ilikuwa mechi ya kwanza ya kimashindano kuchezwa uwanja mpya wa taifa.
Hadi leo sinaga hamu na timu yetu.
Sinto sahau siku Taifa Stars ilipofungwa na Somalia huko Uganda ktk kombe la Challenji !!!
Somalia 1 - 0 Tanzania !!!
 
Hapo nilipenda Ujerumani achukue kabia....na nilifurahi kwani maombi yangu yalitimia
 
Siku simba ya Tanzania ilipotubamiza yanga ya India tano bila yaani hata la kusema sina..niliumia sana yaani naamini kipigo kile cha mbwa koko kiliniuma na kitaendelea kuniuma milele
Simba walistahili....
 
Watanzania washamba timu za nje zikija unawapangia Nangwanda sijaona zamaaani tungecheza AFCON... au Yanga juzi kwa nini wasitumie kirumba (Home advantage) kwenye mashabiki wake wengi.... Mikia wachawi
 
Brazil nao walijichanganya yaani unaweza kuja kucheza mechi ya Kirafiki kweli na TZ? Were they serious kabisa?
Kama sijakosea sisi tuliwaita na kugharamia kila kitu,, hivyo hawakuwa na mpango wa kujipima na sisi
 
Najua Kagera jana imeumiza sana watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…