Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie bao la mkono la tambweSiku simba ya Tanzania ilipotubamiza yanga ya India tano bila yaani hata la kusema sina..niliumia sana yaani naamini kipigo kile cha mbwa koko kiliniuma na kitaendelea kuniuma milele
Sinto sahau siku Taifa Stars ilipofungwa na Somalia huko Uganda ktk kombe la Challenji !!!Mi hii hapa ndo niliumia sana hadi leo hii..
1. Tanzania vs Msumbiji -2007. Tico Tico anatufunga dakika za mwanzo kabisa afu ndo ilikuwa mechi ya kwanza ya kimashindano kuchezwa uwanja mpya wa taifa.
Hadi leo sinaga hamu na timu yetu.
Bolizozo abidjan sare taifa mbili mtungi rashidi abdallah alikuwa anageuzwa kama chapati na bolizozo.Simba Sports Vs Stella Abdijan
Hapo nilipenda Ujerumani achukue kabia....na nilifurahi kwani maombi yangu yalitimiaNiliumia sana chama langu kukosa vikombe!
- 2014 W/C final
- 2015 C/A final
- 2016 C/A final
Algeria kutolewa na ujerumani robo-fainali niliumia sana' kutokana na soka lao jinc lilivyo tamu nilitegemea hawa ndio wakombozi wetu Africa ....anyway tuone Egypt nawenyewe watafanya nini!!
All the best
Algeria
Ghana
Ivory Cost
Tunisia na Nigeria.
Afu tukawaachia na mikosi ... wakaenda kuborongaDah ile ya Tz na Brazil tunakufa 5 kwa 1 kulikuwa tumewakamata kabisa wale
Simba walistahili....Siku simba ya Tanzania ilipotubamiza yanga ya India tano bila yaani hata la kusema sina..niliumia sana yaani naamini kipigo kile cha mbwa koko kiliniuma na kitaendelea kuniuma milele
[emoji1] [emoji3] [emoji2] Pamoja na vita ila bado wakatumudu ...Sinto sahau siku Taifa Stars ilipofungwa na Somalia huko Uganda ktk kombe la Challenji !!!
Somalia 1 - 0 Tanzania !!!
Dah ile ya Tz na Brazil tunakufa 5 kwa 1 kulikuwa tumewakamata kabisa wale
Brazil nao walijichanganya yaani unaweza kuja kucheza mechi ya Kirafiki kweli na TZ? Were they serious kabisa?Afu tukawaachia na mikosi ... wakaenda kuboronga
Kama sijakosea sisi tuliwaita na kugharamia kila kitu,, hivyo hawakuwa na mpango wa kujipima na sisiBrazil nao walijichanganya yaani unaweza kuja kucheza mechi ya Kirafiki kweli na TZ? Were they serious kabisa?