Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja😂😂😂paja paja.
Ngumu kumjua shoga kwa mavazi kwa kuwa wengi hawapendi kudhihirisha sexuality yao.
Kwa hiyo nakushauri usigeneralize kuwa wavaa vipensi vya jinsi ni mashoga.
Noted: Ukila shoga na wewe utazaa shoga.
Ahahaaaa, nacheka kama mazuri.Kijana wa kiume akivaa vile viatu vya kike vyenye manyoya moja kwa moja sio mzima
Tembea ujionee vijana wanavoaibisha manhoodAhahaaaa, nacheka kama mazuri.
Hivi kuna mwanaume anavaa vile viatu?
USISEME DAR sema KINONDONIHivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja😂😂😂paja paja.
Ahahaaaa, nacheka kama mazuri.Kijana wa kiume akivaa vile viatu vya kike vyenye manyoya moja kwa moja sio mzima
Kijana wa kiume akivaa vile viatu vya kike vyenye manyoya moja kwa moja sio mzima
kuna mtoto wa kiume nimemwona leo asubuhi ana mpaja😂😂😂😂chipsi hizo paja lazime liwe paja haswaaa.
Kweli aseme KinondoniUSISEME DAR sema KINONDONI
Mwenye uzi amepropose hivyo.Kivipi yani! Kwamba ukila shoga lazima nawewe uzae shoga? Sijaelewa
Ndio, ukimla aidha wewe baadaye utageuka kuwa shoga au mwanao wa kiume atakuwa shoga. Nimeipata hii mifano uswahiliniKivipi yani! Kwamba ukila shoga lazima nawewe uzae shoga? Sijaelewa
Nakubaliana na wewe kabisa Mkuu kuwa "ukila shoga nawe utazaa shoga" sababu "Karma is a Bitch"Ngumu kumjua shoga kwa mavazi kwa kuwa wengi hawapendi kudhihirisha sexuality yao.
Kwa hiyo nakushauri usigeneralize kuwa wavaa vipensi vya jinsi ni mashoga.
Noted: Ukila shoga na wewe utazaa shoga.
Nimesoma hii comment nmecheka sanaKijana akivaa pensi fupi na soksi miguuni huyo ni chakula.
Za akina Delicious JamesSuit za pink