Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

Kampura za maua maua au rangi zinazo ng'aa au drafti fupi zisizofika magotini, na jeans zilizochanika mapajani....

Yaan kunasiku tofauti nilishuhudia majamaa analalamika kutongozwa kisa na midume yenzao kiss huo uvaaji na ukiwacheki walikua soft smart hata manywele ya kiume hawana mapajani
 
Kwaiyo mnataka kusema ukiwa una paja limenona we ni chakula ya watu!
Labda tuwaulize wadau watupe ujuzi
Mbali na mavazi ni hatari sana kwa kijana wa kienyeji kuzungumza katikati ya mazungumzo na kupachika neno "Kwio"
Mimi ninavaa pensi zisizovuka magoti. Navaa pensi zilizochanika pia.

Nilikua sijui kua kuna watu wananiona shoga. Ila siachi
Please. Acha Mara moja.
 
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
Mbona husemi kama huwa tunaning'iniza funguo za Brevis kwenye luksi.
 
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja😂😂😂paja paja.
Tupaja twao lainii ukute vina na tumichirizi kwa mbali😋😋
 
Kutambua nyanda bongoyo mtihani hasa kupitia mavazi
 
Labda muongee na yule wa 1982 kwanza.
 
Badilisha line mkuu. Huwa shetani abipiwi hata kidogo
 
Kama vijana wa Matombo wanapenda sana kuvaa visendoz vya kike,mtu anaenda dukan badala ya kununua ndala ananunua open shoe za kike na kucha wamepaka rangi
 
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma comments hadi hapa, niishie kusema TZ haiwezi kupambana na USHOGA. nimalizie kwa kusema, kila mtu ana haki ya kufanya vile anavyoona kwake ni sahihi pasipo kuathiri kanuni, taratibu na sheria, pia hisia n dhamana ya muhusika hapaswi kuzuiliwa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dada zako ndo wanavutiwa na hyo mikato bro huwez shindana na nyakati wacha wajiachie watakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…