Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
 
Siku moja nilikwenda club moja... Nilikaa mahali peke yangu hadi time fulani nijichulia Malaya nikaenda kujipigia... Niliporudi nikakaa mahali.. Niliona kundi la vijana ambao unaweza kujua kama ni Homosexual...

Bwana bwana issue ikaja baada ya yule manzi kuondoka na kubaki peke yangu...

Mmoja akamfata yule binti akamuuliza unmjua yule Gentleman?

Mwingine akinifata na kuanza kuniomba namba mara hataki kugombana na demu wangu nifanye fasta...

Wapo mashoga wanavaa suti..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana.Tuombe MUNGU atunusuru na kadhia hiii.
 
Duh mjini kuna mambo
 
Baadaye itaanzishwa thread utamjuaje jambazi, muuaji, fisadi, mwizi, mbakaji, mkabaji, malaya, muongo...
 
Shoga utamtambua pale mwanaume mwenye ndevu zake akitembea yupo busy kukazia macho wanaume wenzie na kuwachunguza kuhusu mavazi yao, kama hua unafanya hayo tambua wewe ni shoga ila bado hujajikubali vile ulivyo.
 
Toa namba [emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…