Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja😂😂😂paja paja.
Hello I miss you!!
 
1. mwanaume yeyote anayevaa rangi ya pink,mauamaua kibao na zambarau ni chakula. Kama unaweza mguse bega ili umalizane naye
2. Mwanaume yeyote anayefunga kamba za viatu huku amebong'oa ni chakula hiko. Kama unaweza mguse bega ili umalizane naye
Mwanaume anatakiwa afunge kamba za viatu huku umechuchumaa.
3. Mwanaume anayekula ndizi barabarani huku akitembea hicho ni chakula. Kama unaweza mguse bega ili umalizane naye
Mwanaume anakula ndizi huku amekaa au amesimama Kwa muuza ndizi au kalie nyumbani kwako.
Ushoga sio poa. Hivi nyie mashoga hamuujui utamu wa K mpaka mnakubali kuhemewa mgongoni?
Nalog off
 
Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngumu kumjua shoga kwa mavazi kwa kuwa wengi hawapendi kudhihirisha sexuality yao.
Kwa hiyo nakushauri usigeneralize kuwa wavaa vipensi vya jinsi ni mashoga.

Noted: Ukila shoga na wewe utazaa shoga.
Bora hata uwaambie, wajue.
 
Unaweza vaa hiyo pensi ya juu ya magoti na vindala na bado akawa lijali pia anaweza vaa kombati ama zinga moja la suruali na akawa shoga, hayo mambo hayana formula. Shoga anajulikana pale ambapo kainamishwa tu ila huku kwingine ni kuotea
Tena hawana wanalolijua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jomoneeeej khaaaah.
Pesa zake unakula? Soon kitakukuta kitu mweeeeeh.
 
Ubaya wa sikuhizi hata hao wavaa suti na mayenu nao ni mashoga.
Hizo ulizomention hapo juu kwangu si kigezo za kuhisi ushoga.
Cc wa damu, mic u moaaaah. [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Shoga utamtambua pale mwanaume mwenye ndevu zake akitembea yupo busy kukazia macho wanaume wenzie na kuwachunguza kuhusu mavazi yao, kama hua unafanya hayo tambua wewe ni shoga ila bado hujajikubali vile ulivyo.
Mumeeeeh ake [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] mic u moaaah
Saiv hakna hata wanaume straight, wamejaa bisexuals na gays.
Wengi wao hawajikubali tyuuh yaan.
 
Muda cyo mrefu mtu ataanzisha Uzi ..Wale walio kula mashoga tukutane hapa[emoji16][emoji16][emoji16] watoe ushuhuda mnk huku naona huku Kila mtu anakatah
 
Muda cyo mrefu mtu ataanzisha Uzi ..Wale walio kula mashoga tukutane hapa[emoji16][emoji16][emoji16] watoe ushuhuda mnk huku naona huku Kila mtu anakatah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jomoneeeej khaaaah.
Pesa zake unakula? Soon kitakukuta kitu mweeeeeh.
Upo kijana, nilikumiss mbaya kabisa,
Pole kwa ban lakini
 
Wote ni mashoga usitetee
Ngumu kumjua shoga kwa mavazi kwa kuwa wengi hawapendi kudhihirisha sexuality yao.
Kwa hiyo nakushauri usigeneralize kuwa wavaa vipensi vya jinsi ni mashoga.

Noted: Ukila shoga na wewe utazaa shoga.
 
Acheni kutetea ujinga,uvaaji ni wazi unaonesha tabia ya mtu
Unaweza vaa hiyo pensi ya juu ya magoti na vindala na bado akawa lijali pia anaweza vaa kombati ama zinga moja la suruali na akawa shoga, hayo mambo hayana formula. Shoga anajulikana pale ambapo kainamishwa tu ila huku kwingine ni kuotea
 
Ndio tabia zenu hizo muache
Hivyo vipensi vya jeans "mabroo" wengi tunavaa mbona , jumlisha na Form six, Sandler's simple na funguo za gari tunaning'iniza kwa mbele.

Nimesahau, huwa iphone zetu hatuweki mfukoni, hazitoshei kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…