Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Ndo muulizane sasaUtajuaje kuwa anapenda nn ikiwa ni first time kuonana nae physically?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo muulizane sasaUtajuaje kuwa anapenda nn ikiwa ni first time kuonana nae physically?
Naam! Kama upo akili mwangu.Abaya (baibui)na hijabu yangu with simple shoes and a small handbag. Vitu km pete, saa ndg ya mkononi, cheni ndg shingoni vinaongeza mvuto. So like that is enough for me..
asee mpaka nimetamani tukutaneAbaya (baibui)na hijabu yangu with simple shoes and a small handbag. Vitu km pete, saa ndg ya mkononi, cheni ndg shingoni vinaongeza mvuto. So like that is enough for me..
HahaaaahaaaWanawake wengi mnavutiwa sana na wanaume wakivaa kadet eeenh?
jeans nzuri ( isiwe ya special dukani iwe mtumba classic) t- shirt ya special ( isiwe mtumba), saa nzuri yenye mikanda ya leather ila hata aina nyingine sio mbaya, usivae ma- miwani ya kuchomelea mageti, vaa kiatu ukipendacho ila isiwe buti ndefu, be moderate piga unyunyu ( body spray) wa kawaida.
usivae ma- cheni kama minyororo ya kufungia mbwa, au yale ya 50cent, ingekusaidia zaidi ungekuwa tall maana wanawake/wasichana wanarubunika haraka sana na mameni tall,
#NB. kumbuka kuijaza wallet yako yale mshetani mekundu ( pesa isipungue 150,000),.....hii itakusaidia sana kama huyo m/mke atahitaji kinywaji au chakula cha ghalama ( ili usianze kusema kuku choma ni wabaya kiafya),...usiwe bwege jitahidi urudi na angalau 70...au 80..nyumbani
Jitahidi umgegede siku chache au siku hiyohiyo halafu mteme ( la sivyo atakuchuna sana)
USIAZIME GARI la Mtu..
by Saguda47...kutoka mkoani
Wanawake wengi mnavutiwa sana na wanaume wakivaa kadet eeenh?
Mmmm T-shirt nyeupe mm sio mpenz wa hz rangi aisee, hy inategemea na rangi ya mtu. Mm ya kijivu flan hv iwe cotton nzito, jeans ya chambuo km unazielewa halafu chini raba simple, mkonon saa isikosekane..maunyunyu nina utaalamu nayo kitamboo sijawah kosea..hp lazima udate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu mkwanja isipungue laki 2, ili mtoto akihitaj chochote naweza mpatiaMimi hapana aiseeh.
Mi mwanaume atanichanganya zaidi na nitamfurahia kumuona akivaa [emoji158]kali na tshirt nyeupeee..na hivi viatu flani hiviiii ambavyo popote unaweza kuvivaa.wanaume watanielewa.asisahau saa,unukie aiseeh.. jaman halafu awe na short hair uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nafwa mie huku.asiwe na maneno mengi uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nafikiri nitamtengeneza mwenywe kwa kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa mimi mdada sasa nivae kigauni (rangi isiwe ya kung'a hapana iwe ya kupoa lkn yenye kukufanya uonekane vizur) cha heshima sio kifupi wala kirefu kivuke maggoti kidogo sanaa,visimpo vyangu,saa mkononi,kunukia lazima,kichwa kikiwanachuro itakuwa bomba mbaya.nikiwa na hela yangu nitakuwa na aman zaidi[emoji16][emoji16].ahaaaa mimi nae nimezidi ngoja niishie hapa hapa[emoji41]
Hapo lazima mtu aingie kingi.aise mi kwangu mwanaume akipiga t-shirt nyeupe nzito na hvyo vingine...lazima nifurahi kwa kiwango cha lamiMmmm T-shirt nyeupe mm sio mpenz wa hz rangi aisee, hy inategemea na rangi ya mtu. Mm ya kijivu flan hv iwe cotton nzito, jeans ya chambuo km unazielewa halafu chini raba simple, mkonon saa isikosekane..maunyunyu nina utaalamu nayo kitamboo sijawah kosea..hp lazima udate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu mkwanja isipungue laki 2, ili mtoto akihitaj chochote naweza mpatia
Hebu niambie mkuu kingine nizidi kudatikaKuna kamwonekano fulan hv amaizing lazima mrembo yyt adate