Ni mavazi gani unaweza vaa siku ya kwanza kukutana na mpenzi wako?

Abaya (baibui)na hijabu yangu with simple shoes and a small handbag. Vitu km pete, saa ndg ya mkononi, cheni ndg shingoni vinaongeza mvuto. So like that is enough for me..
Naam! Kama upo akili mwangu.
 
Abaya (baibui)na hijabu yangu with simple shoes and a small handbag. Vitu km pete, saa ndg ya mkononi, cheni ndg shingoni vinaongeza mvuto. So like that is enough for me..
asee mpaka nimetamani tukutane
umependeza kimaandishi tu, spat picha sasa ukionekana
 
Surual ya kadet na shati ya draft au kalinen fulan na sendoz za ngozi sio mbaya... Kwa mwanaume
 

Umeua mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nilivaa uniform za shule ya msingi. Wewe vaa hata za secondary kamavipi
 
Wanawake wengi mnavutiwa sana na wanaume wakivaa kadet eeenh?

Mimi hapana aiseeh.

Mi mwanaume atanichanganya zaidi na nitamfurahia kumuona akivaa [emoji158]kali na tshirt nyeupeee..na hivi viatu flani hiviiii ambavyo popote unaweza kuvivaa.wanaume watanielewa.asisahau saa,unukie aiseeh.. jaman halafu awe na short hair uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nafwa mie huku.asiwe na maneno mengi uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nafikiri nitamtengeneza mwenywe kwa kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwa mimi mdada sasa nivae kigauni (rangi isiwe ya kung'a hapana iwe ya kupoa lkn yenye kukufanya uonekane vizur) cha heshima sio kifupi wala kirefu kivuke maggoti kidogo sanaa,visimpo vyangu,saa mkononi,kunukia lazima,kichwa kikiwanachuro itakuwa bomba mbaya.nikiwa na hela yangu nitakuwa na aman zaidi[emoji16][emoji16].ahaaaa mimi nae nimezidi ngoja niishie hapa hapa[emoji41]
 
Mmmm T-shirt nyeupe mm sio mpenz wa hz rangi aisee, hy inategemea na rangi ya mtu. Mm ya kijivu flan hv iwe cotton nzito, jeans ya chambuo km unazielewa halafu chini raba simple, mkonon saa isikosekane..maunyunyu nina utaalamu nayo kitamboo sijawah kosea..hp lazima udate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu mkwanja isipungue laki 2, ili mtoto akihitaj chochote naweza mpatia
 
Hapo lazima mtu aingie kingi.aise mi kwangu mwanaume akipiga t-shirt nyeupe nzito na hvyo vingine...lazima nifurahi kwa kiwango cha lami
 
Hapo lazima mtu aingie kingi.aise mi kwangu mwanaume akipiga t-shirt nyeupe nzito na hvyo vingine...lazima nifurahi kwa kiwango cha lami
Kuna kamwonekano fulan hv amaizing lazima mrembo yyt adate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…