Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Salaam na jukwaa,

Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba.

Chanzo cha kutoweka kwa mtoto huyo alitishiwa kuwa atapigwa kwa kuwa hapendi kusoma na katika juhudi za kumtafuta inasemekana anaonekana sehemu ila watu wenye walokuwa na jukumu la kumtafuta wanapofika hiyo sehemu anakuwa ameshaondoka, ni mtoto makisio ya miaka 14 yupo darasa la 5.

CHANZO CHA HABARI "MAWIO"
 
Back
Top Bottom