Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu

Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
 
Maswali mengine bana ....

Kama kila kitu kingekuwa kinapatikana bure ni mbinu gani ingetumika kwa binadamu kukimbizana ,kuvuja jasho kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom