Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

1.Gwajima
2.Mpina
3.Shabiby
4.Abood

Wanaobaki wachumia tumbo machawa wakubwa
 
Pamoja na hao ulio wataja ila jumanne kishimba, Luaga mpina, josephat gwajima, dorothi gwajima japo some time anazingua ila ana heri kuliko mawaziri wengi, ndugai , japo kwa sasa hawezi kuongea au kutoa mchango ila huwa anakuwa na hoja zenye mashiko sana, Abdul Aziz Abood ingawa si mchangiaji wa hoja pale bungeni ila kwenye jombo lake kwa kweli ana tenda mambo mengi kuliko serikali.
 
Back
Top Bottom