Automaly ndio nini?Akishakuwa tu rais, anapewa na uenyekiti automaly ili atumie kofia ya urais kuibeba ccm. Uchaguzi huwa ni kukamilsha tu ratiba.
Ndiyooooooo!Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje
Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
Trump ni Mwenyekiti wa chama gani cha siasa?Akishakuwa tu rais, anapewa na uenyekiti automaly ili atumie kofia ya urais kuibeba ccm. Uchaguzi huwa ni kukamilsha tu ratiba.
Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje
Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
Endapo wataukoda urais inakuwajeHakuna cha mchakato, we jua kuwa atakae kuwa rais automatically ni mwenyekiti wao