Ni mchakato wa aina gani hutumika kumpata mwenyekiti wa CCM

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje

Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…