SAMIA SULUHU HASSANWakuu,
Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube
Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa
Lakini cha ajabu ni kwamba hiyo video ina views zaidi ya 400k.
Kuna huyo Ndaro, Steve Mweusi na yule mkojani hawa jamaa huwa hawanichekeshi kabisa.
Nyie wenzangu ni comedians gani huwa hawakuchekeshi kabisa?
Coy hajui kabisa kuchekeshaCoy mzungu, Shafii, mboneke, mkali wenu
Mtu pekee alikuwa ananichekesha ni mzee majuto,waliobaki kidogo Mpoki na Joti.
Ova.
Vipi kuhusu Tin white?
Mkuu kuna watu wamezaliwa kuchekesha, Joti na mzee Majuto ni baadhi...
- Ubora wake hutegemea script husika.
- Lakini mtu kama JOTI haijalishi script ikoje, lazima kazi iwe nzuri.