Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wengi hawajui ila ndo vile wameteka akili za wanawake.
Ukiteta akili za wanawake basi ushatoboa
Ukiteta akili za wanawake basi ushatoboa
We jamaa kama mmMtu pekee alikuwa ananichekesha ni mzee majuto,waliobaki kidogo Mpoki na Joti.
Ova.
Mzee Shayo hakuna kitu. Mchekeshaji ni Joti na MpokiWanaweza Comedy vema kabisa ni Joti, Mpoki, Eliudi, Zuli comedy, Mzee Shayo, Kipotoshi, Leonardo
Masanja huwa anapiga kelele tu kulazimisha watu wacheke lakini hakuna cha kuchekesha ndio maana akahamia kwenye uaskofu fekiMtu pekee alikuwa ananichekesha ni mzee majuto,waliobaki kidogo Mpoki na Joti.
Ova.
Very rightCoy mzungu, Shafii, mboneke, mkali wenu
Sasa ulikuwepoo!!Mimi ni brother k nikimwona tu lazima nicheke
aisee mabinti wa chuga banaSijui mimi ni binadamu wa kawaida ama ni aje
Nacheka nikiamua,sichekeshwi
Bora Mkojani kwa lafudhi yake inaweza kukuchekesha ila hao kina ndaro sijui stivie mweusi hamna kitu bora hata DullaTX anajitahidi.Wakuu,
Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube
Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa
Lakini cha ajabu ni kwamba hiyo video ina views zaidi ya 400k.
Kuna huyo Ndaro, Steve Mweusi na yule mkojani hawa jamaa huwa hawanichekeshi kabisa.
Nyie wenzangu ni comedians gani huwa hawakuchekeshi kabisa?
Kweli kabisa..unacheka majukumu unamuachia naniNa utu uzima huu hamna kinachonichekesha