Ni mchezaji gani anayeweza kujiunga na Arsenal ya Wenger ?

Ni mchezaji gani anayeweza kujiunga na Arsenal ya Wenger ?

Hundreds of world class players are praying to be part of the squard
 
Ila Management ya Arsenal ni wavumilivu sana
Right angekua Chelsea mmmmmh
Ila anaweza pata kazi Madrid
 
mwenye timu ameshanukuliwa akisema hakuinunua arsenal ili ishinde vikombe, Wenger anachofanya ni kukuza vipaji vya kuuza, alijitutumua kumtaka Lemar lakini ulikuwa kama usanii fulani. Tukimtupa watamchukua Psg au real madrid.
Sasa anakataa paundi 60 kisha anauza kwa 25, hesabu kali sana hizi.
Babu kachoka sana. Haya akija messi hawezi toboa, ebu mcheki Chamberlai chini ya Klopp kawe bonge la mchezaji. Nina uhakika hata Walcott chini ya kocha mwingine mzuri atakuwa poa sana.
 
Ila Management ya Arsenal ni wavumilivu sana
Right angekua Chelsea mmmmmh
Ila anaweza pata kazi Madrid
sio watulivu mkuu, wanaridhika na timu ukilinganisha na uwejezaji uliopo, arsenal, wakati mourinho ananung'unika £300m hazitoshi kumpa ubingwa epl, Wenger anapita akitamba kuwa anaweza kununua mchezaji yoyote jwa £150m!
 
Back
Top Bottom