Ni Mchezaji gani wa Taifa Stars alikuvutia kwenye mchezo wao na Algeria jana?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Jana tumeshuhudia mchezo wa kiume kweli kweli kati ya Taifa Stars na wenyeji Algeria. Wachezaji wa Taifa Stars jana wameipigania Bendera ya nchi yao kweli kweli, pamoja na Algeria kusheheni mastaa lakini Taifa Stars walilipambania lengo lao mpaka filimbi ya mwisho ya Refa.

Kwa mtazamo wako, ni mchezaji gani jicho lako halikutoka kwake na muda wote alikuwa akiwa na mpira ulikuwa unatabasamu?



#solomatv_updates
 

Attachments

  • c1d3d12c1ee9468ba4cb8e0f372fac19_375215242_822228579903017_371647166445172103_n.jpg
    90 KB · Views: 5
Kibu alitisha sana pale mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…