Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
Madame nisamehe tusi limenitoka la kimoyo moyo apaJana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.