Ni Mchezaji gani wa Taifa Stars alikuvutia kwenye mchezo wao na Algeria jana?

Ni Mchezaji gani wa Taifa Stars alikuvutia kwenye mchezo wao na Algeria jana?

Jana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:

Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Madame nisamehe tusi limenitoka la kimoyo moyo apa
 
Jana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:

Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Huu ufala ulisababisha tufungwe na Uganda pale Taifa
 
Heshima ya mbwana ally samatta tunampa na maua yake tunamkabidhi. ila pamoja na kwamba ni mchezaji mzuri kiwango chake binafsi hakiniridhishi,
Umri ushaenda mkuu yupo 30+ sasa hivi tena iyo ni miaka ya soka hatujui miaka yake halisi. Umri wake kabakisha miaka michavhe ya kuvheza soka na akipata majeruhi kupona inachukua muda mrefu inamlazimu aangalie wapi anaingiza mkwanja mrefu ndipo apeleke juhudi zaidi uko. Lazima ajiandalie mazingira baada ya kustaafu.
 
Back
Top Bottom