Ni Mchungaji Wilbroad Mastai wa Kimara au Dkt. Elioina Kimaro wa Kijitonyama?

Ni Mchungaji Wilbroad Mastai wa Kimara au Dkt. Elioina Kimaro wa Kijitonyama?

Ifahamike sana Mkuu wa Kanisa KKKT atakuwa na nguvu kubwa na yale magomvi au ubabe wa baadhi ya Maskofu wa Dayosisi mbali mbali yanakwenda kudhibitiwa na katiba ya sasa.
Hii hadithi yako ungesindikizia na vifungu vya hiyo katiba ya sasa pamoja na pdf ya hiyo katiba yenyewe ili watu waipitie wenyewe.
 
Siyo kweli huyo ni sawa na admin wa group la WhatsApp hana mamlaka yoyote, uliwahi kuona hata amemsimamisha Askofu au kumteua? hama mamlaka yoyote kwenye jimbo la mwingine, wote wanaripoti kwa Papa
KKKT ilikuwa hivyo kila Askofu alikuwa kambare katika DAYOSIS yake.
Utaratibu Mpya itakuwepo nafasi ya KATIBU MKUU KIONGOZI huyu atakuwa mtendaji mkuu wa KKKT na Mkuu wa makatibu mkuu wa DAYOSISI ZOTE.
 
Lucas mwashambwa tia neno hapa maana KKT ya Sasa ipo chini yenu
Atapita na kushinda yule aliye andaliwa na mwenyezi Mungu katika ulimwengu wa kiroho. Waumini na wenye dhamana ya kupiga kura wataongozwa na roho mtakatifu katika kumpa kura yule aliye chaguo la Mungu ili alitumikie kanisa lake kwa haki ,upendo, unyenyekevu na usawa kwa wote. Atamuinua yule mnyenyekevu,mwenye upendo,huruma na Mwenye kugusa mioyo ya watu.Atamuinua yule atakaye fanya kazi ya Mungu kwa kujitolea kwa moyo wake wote na kumtanguliza Mungu katika kila jambo.
 
KKKT ilikuwa hivyo kila Askofu alikuwa kambare katika DAYOSIS yake.
Utaratibu Mpya itakuwepo nafasi ya KATIBU MKUU KIONGOZI huyu atakuwa mtendaji mkuu wa KKKT na Mkuu wa makatibu mkuu wa DAYOSISI ZOTE.
Kwa Malasusa kanisa linaenda kufa litakuwa ni tawi kuu la CCM
 
Iwapo eliona kimaro atachaguliwa kuwa askofu wa Dayosisi hii,naapa kuacha kuwa Muumini wa kanisa hili kubwa Duniani.
Jana malasusa Leo tena kimaro!
No way.
 
hili kanisa la wazazi wangu, Mungu alisaidie.. yani kampeni hadi kwenye mambo ya kidini, hamna tofauti na kina Mbowe na Slaa, ndio maana linapoteza sana waumini
 
Back
Top Bottom