Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Siyo kweli huyo ni sawa na admin wa group la WhatsApp hana mamlaka yoyote, uliwahi kuona hata amemsimamisha Askofu au kumteua? hama mamlaka yoyote kwenye jimbo la mwingine, wote wanaripoti kwa PapaRais wa TEC ni Kiongozi wa MAASKOFU.
Wamepiga nini?Wote wapigaji hao!
Hii hadithi yako ungesindikizia na vifungu vya hiyo katiba ya sasa pamoja na pdf ya hiyo katiba yenyewe ili watu waipitie wenyewe.Ifahamike sana Mkuu wa Kanisa KKKT atakuwa na nguvu kubwa na yale magomvi au ubabe wa baadhi ya Maskofu wa Dayosisi mbali mbali yanakwenda kudhibitiwa na katiba ya sasa.
KKKT ilikuwa hivyo kila Askofu alikuwa kambare katika DAYOSIS yake.Siyo kweli huyo ni sawa na admin wa group la WhatsApp hana mamlaka yoyote, uliwahi kuona hata amemsimamisha Askofu au kumteua? hama mamlaka yoyote kwenye jimbo la mwingine, wote wanaripoti kwa Papa
Atapita na kushinda yule aliye andaliwa na mwenyezi Mungu katika ulimwengu wa kiroho. Waumini na wenye dhamana ya kupiga kura wataongozwa na roho mtakatifu katika kumpa kura yule aliye chaguo la Mungu ili alitumikie kanisa lake kwa haki ,upendo, unyenyekevu na usawa kwa wote. Atamuinua yule mnyenyekevu,mwenye upendo,huruma na Mwenye kugusa mioyo ya watu.Atamuinua yule atakaye fanya kazi ya Mungu kwa kujitolea kwa moyo wake wote na kumtanguliza Mungu katika kila jambo.Lucas mwashambwa tia neno hapa maana KKT ya Sasa ipo chini yenu
Kwa Malasusa kanisa linaenda kufa litakuwa ni tawi kuu la CCMKKKT ilikuwa hivyo kila Askofu alikuwa kambare katika DAYOSIS yake.
Utaratibu Mpya itakuwepo nafasi ya KATIBU MKUU KIONGOZI huyu atakuwa mtendaji mkuu wa KKKT na Mkuu wa makatibu mkuu wa DAYOSISI ZOTE.