Ni mchungaji yupi alikusaidia kutatua changamoto zako ana kwa ana zilizokuwa zimekushinda kabisa?

Ni mchungaji yupi alikusaidia kutatua changamoto zako ana kwa ana zilizokuwa zimekushinda kabisa?

Ni Yesu alinisaidia. Tatizo lenu Mnataka muombewe mambo yaende vizuri alafu muendelee kuwa watenda dhambi
Hiyo Biashara huku kwetu Hakuna.
Utasaidiwa mambo yaende vizuri Lakini kikubwa Mungu anataka Roho yako akuongoze , awe Mtakatifu, akufanikishe
 
Tony kapola ....Sikusaidiwa na yeye bali niliona mafundisho yake ni yenye maana kwangu kwa muda ule lakini kadri muda unakwenda nikaona kama anazingua hivi
 
Back
Top Bottom