Ni mda sasa wa Tundu Antipas Lissu kuandika kitabu cha kuhusu maisha yake

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Maisha ya Lissu yamekua ya mchaka mchaka toka anasoma mpaka kwenye SIASA ni maisha yaliyojaa milima na mabonde kwa ushawishi alionao ni mda wa Lissu kutupatia kitabu kinachoeleza maisha yake. Kwa ushawishi ulionao Lissu najua atauza nakala za kutosha kuna mengi hatuyajui kuhusu Lissu ni mda sasa ukitoka jela utupe kitabu kuna mengi tutajifunza na mauzo yatakua makubwa.
 
I can't wait kuona hicho kitabu. Nitanunua nakala ata 1000 na kuzigawa bure
 
Back
Top Bottom