[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Form II A vs Form III B
Germany 0-2 Itary semi final world cup 2006 mpira mwingi ulichezwaaa aseee goli safi kabisa la Grosso kwenye Extra tym..katikati pale Pirlo na Barrack yani siwez kusahau.
Juventus 1 Inter Milan 0, Mechi ya pili Series A 1998, mbio za ubingwa. Mechi hii ilikuwa na kasi kubwa sana. Ronaldo Lima akiwa kwenye ubora na Del Piero akiwa kwenye ubora wake. Ufundi wa magolikipa Angelo Peruzi na Gianluca Pagliuca ulikuwa kivutio sana.
hahahaYanga 0 - 5 simba.
Huwa nikipita external ubungo nakumbuka hiki kipigo coz nilikishuhudilia hapoman u 1 - man city 6