Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #61
The special one beat the special team(Intermilan vs Barca),semi final Uefa champions league,2010. Barca anakufa tatu.Cambiasso,Motta,Sneijder miguu imejaa kama ndoo za litre 10,sijawahi kuona viungo waliokua wanazingatia,wanakaba kama hawa na kwa ujumla wao siku hiyo kilometres walizokimbia uwanjani ni kama kutoka Dar mpaka nyumbani Shinyanga.Bonge moja la gemu
Msimu huu ndio ulionisababisha niipende man u na wakati huo huo kuichukia...na mpaka Leo bado naichukia sana
world cup 2010 south Africa asamoh Gian anakosa penalt yaani hii mechi niliumia kumbuka ilikuwa tuweke history timu ya Africa kutinga semi final
Milan 5-0 Madrid...
mechi ya Pili ya Nusu Fainali msimu wa 1989-1990
1.Mechi ya Man U 8-2 Arsenal
2.LFC 3-3 Man U ,Man U mpaka half time alikuwa anaongoza kwa goli 3 LFC karudisha yote nilikuwaje mdogo.
3. Germany vs Cameroon enzi za kina G.Song WC 2012 mechi hii ilikuwa na ubabe si mchezo kadi zilitembea kama mvua, Germany alishinda.
4.WB 1-0 Man U 2015 nililia kabisa nikatukana matusi kweli kweli na sijui niliyatoa wapi.
hii ilikua supercup mkuu nakumbuka mourinho alishaingia akishangilia dressing room mara akatoka uko tena kama panya alokimbizwa na paka baada ya Robben kufanya yake ikawa 1-1 [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoma likaingia matuta Bayern akashnda baada ya lukaku kukosa penati apo ndo chuk ilianzia yeye na Mou siku iyo nilifurahi sanachelsea hakucheza na bayer fainal uefa
World cup 1994. Quarter final. Spain vs Italia. Game iliisha 2-1 Italy akiibuka mshindi. Italy walielemewa sana na baada ya game Kwisha mzee Ariggo Sacchi anasema Italia hufanya vema pale wewe usipotegemea. Baadhi ya wachezaji ninaowakumbuka ni Andoni Zubizareta aliyekuwa goalkeeper. Joseph pep Guandiola, Luis Endriq Martinez, Fernardo Hiero, exeberia hao walikuwa kwa upande wa Spain.
Italy ilikuwa na Roberto Baggio, Costacuta, Paulo Maldini, Conte, Daniele Massaro, Franco Baresi, Albertin, Betri nk.
Game ilikuwa ya kufanya MTU. kama kuna mdau anaweza kuiweka hapa .

Yanga 0 - 5 simba.
Simba 0-Yanga 7 ,hiyo ilikuwa mwaka 1986 simba wakijiita sunderland wakati huo walipigwa goli 7 na yanga ktk kipindi cha kwanza na kipindi cha pili hawakurudisha timu uwanjani.
pia gem ya WC 2014 German v Algeria nilifurahi siku iyo Algeria walionyesha kiwango kikubwa sana German alshnda kwa tabu extra time
Hatari mpwa barca wakarudi Catalunya na visingizio kibao,mara safari ya basi ilituchosha,mara referee alikua anatoka Portugal akambeba Jose kiukweli viungo wa shoka,waliiua hii gameInter Milan ile haiji kutokea tena, namkumbuka Dejan Stankovic, Walter samuel, Lucio na wengineoo
Man utd vs arsenal 1999 -2000 ilikuwa final nadhani ya kombe la FA mpaka dk 90 bao 1 kwa 1 exrtra time Giggs alianza kuwahesabu toka nje ya mstari wa kati walikuwa kina viera unapigwa chenga unawahi mbele unakuja kupigwa nyingine, jamaa mpaka akafunga bao David seaman ndio alikuwa golini nakumbuka arsenal ilikuwa ya kina Bergkamp, wiltord, kanu mechi ilikuwa tamu sana ile mwisho man 2 arsenal 1

chelsea hakucheza na bayer fainal uefa
Delpiero akfanya mambo yake dakika za lala salama...Italy 2-0 germany (2006)