Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Juventus 1 Inter Milan 0, Mechi ya pili Series A 1998, mbio za ubingwa. Mechi hii ilikuwa na kasi kubwa sana. Ronaldo Lima akiwa kwenye ubora na Del Piero akiwa kwenye ubora wake. Ufundi wa magolikipa Angelo Peruzi na Gianluca Pagliuca ulikuwa kivutio sana.
 
Brazil vs Scotland(June 10, 1998). Mara ya kwanza kabisa kuangalia soka kwenye Tv, bila kulazimishwa.

Bayer Leverkusen vs Real Madrid(May 15, 2002). Mechi ya kwanza kabisa ya vilabu kuiona.

Ilikuwa love at first sight kwa timu nazo-support mpaka leo, hakuna aliyenishawishi kwa namna yoyote.
 
R,madrid 1 juve 0 final klabu bingwa ulaya 1998.
 
Mirambo sec vs Uyui sec 1996-97 uwanja wa VITA fainali ya UMISETA bingwa wa mkoa.
Ilikua ni sheeeeeedah!!
Usiniumizieeeeeee!
 
Tabora Boys Sec vs Milambo Sec
Sitosahau vurugu ile uwanja Ally Hassan Mwinyi Stadium kisa Tabora girls
 
1.Mechi ya Man U 8-2 Arsenal
2.LFC 3-3 Man U ,Man U mpaka half time alikuwa anaongoza kwa goli 3 LFC karudisha yote nilikuwaje mdogo.
3. Germany vs Cameroon enzi za kina G.Song WC 2012 mechi hii ilikuwa na ubabe si mchezo kadi zilitembea kama mvua, Germany alishinda.
4.WB 1-0 Man U 2015 nililia kabisa nikatukana matusi kweli kweli na sijui niliyatoa wapi.
 
Man 2 Bayern Munich 1 UEFA Champions League Final mjini Barcelona mwaka 1999
 
Old Moshi secondary vs Moshi Technical secondary,mechi haikuishaa bonge la vurugu lilitokea hd leo hakuna kucheza hz timu tenaaa
 
world cup 2010 south Africa asamoh Gian anakosa penalt yaani hii mechi niliumia kumbuka ilikuwa tuweke history timu ya Africa kutinga semi final

Umenikumbusha machungu ya usiku ule maana si kulala kabisa na tokea hapo chuki yangu kwa Suarez hata aje kuwa katika ubora gani haitaondoka.
 
Tabora Boys Sec vs Milambo Sec
Sitosahau vurugu ile uwanja Ally Hassan Mwinyi Stadium kisa Tabora girls
Mkuu hiyo bifu ilidumu muda mrefu sana.
Nakumbuka mademu wa T.girls walikua maharage ya Mbeya sana enzi hizo.
 
1.Mechi ya Man U 8-2 Arsenal
2.LFC 3-3 Man U ,Man U mpaka half time alikuwa anaongoza kwa goli 3 LFC karudisha yote nilikuwaje mdogo.
3. Germany vs Cameroon enzi za kina G.Song WC 2012 mechi hii ilikuwa na ubabe si mchezo kadi zilitembea kama mvua, Germany alishinda.
4.WB 1-0 Man U 2015 nililia kabisa nikatukana matusi kweli kweli na sijui niliyatoa wapi.

Teeehe teeehe mtani
 
Tabora Boys Sec vs Milambo Sec
Sitosahau vurugu ile uwanja Ally Hassan Mwinyi Stadium kisa Tabora girls
Mkuu ulikua wapi enzi hizo ili tufahamiane?
Mie nilikua Mirambo sec na nilikua timu ya shule(Nilikua kiungo wa pembeni na nilikua mwembamba nikawa naitwa mwiko wa kuungia mboga)but nilikua hatari sana kwa speed.
 
World cup 1994. Quarter final. Spain vs Italia. Game iliisha 2-1 Italy akiibuka mshindi. Italy walielemewa sana na baada ya game Kwisha mzee Ariggo Sacchi anasema Italia hufanya vema pale wewe usipotegemea. Baadhi ya wachezaji ninaowakumbuka ni Andoni Zubizareta aliyekuwa goalkeeper. Joseph pep Guandiola, Luis Endriq Martinez, Fernardo Hiero, exeberia hao walikuwa kwa upande wa Spain.

Italy ilikuwa na Roberto Baggio, Costacuta, Paulo Maldini, Conte, Daniele Massaro, Franco Baresi, Albertin, Betri nk.

Game ilikuwa ya kufanya MTU. kama kuna mdau anaweza kuiweka hapa .
 
Back
Top Bottom