Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Yanga 1 vs Azam 2, match ya round ya pili msimu wa 2014/2015 hii match ilikuwa ya kihistoria sana maana Mambumbumbu Fc waliishangilia Timu ya Wananchi kwa mara ya kwanza ili ishinde.
 
Ni mechi kati ya Brazil na Japani kwenye 16 bora ya world cup 2006 pale ilichezwa bonge la samba
 
Cameroon V's England 3-2 worldcup 1990.Gary lineaker anafunga kwa penalty.
Pia cameroon vs urgentina goli moja anafunga omam biyik.
 
1.Mechi ya Man U 8-2 Arsenal
2.LFC 3-3 Man U ,Man U mpaka half time alikuwa anaongoza kwa goli 3 LFC karudisha yote nilikuwaje mdogo.
3. Germany vs Cameroon enzi za kina G.Song WC 2012 mechi hii ilikuwa na ubabe si mchezo kadi zilitembea kama mvua, Germany alishinda.
4.WB 1-0 Man U 2015 nililia kabisa nikatukana matusi kweli kweli na sijui niliyatoa wapi.


hebu sasa yaandike hayp matusi hapa ili tuone kama ni mapya au laa...
 
Real Madrid 3-4 Man U hii 2003 Champions League hii mechi ilikua yakukata na shoka kat ya magwiji hao wa mpira duniani. Huku kukiwa na Zinedine Zidane Roberto Carlos Ronaldo Delima Madrid David Beckham Giggz Paul Scholes ilikua bonge la game piga nikupige. Sitasahau hii mechi nakumbuka goli la mwisho nilisaidia kufunga nikavunja meza ya kioo ya mshua. Ilikua noma
 
Umenikumbusha machungu ya usiku ule maana si kulala kabisa na tokea hapo chuki yangu kwa Suarez hata aje kuwa katika ubora gani haitaondoka.

Suarez hii dhambi asipotubu hatoingia peponi" niliumia sana sana.
 
1) liverpool vs ac milan 2005
2)man u vs munchen 1999
3) liverpool vs man u, final carling cup
 
Yanga 3-3simba mwaka juzi..! chelsea 1- bayer 1 fainal ya mwaka juzi Uefa.

Tottenham 5-0 chelsea Epl msimu ulio pita.. ivory coast 9-8Ghana fainal CuF 2014
 
Daaah siku ile Taifa Stars ilivyopigwa na Ivory Coast uwanja wa taifa kufuzu mataifa Africa nilishangilia sana sababu nilibet wanafungwa nikapiga laki 6 na 40
 
mechi ya brazil na ujeruman kombe la dunia ilikua mechi ya ajabu kwangu
 
Yanga 3-3simba mwaka juzi..! chelsea 1- bayer 1 fainal ya mwaka juzi Uefa.

Tottenham 5-0 chelsea Epl msimu ulio pita.. ivory coast 9-8Ghana fainal CuF 2014
chelsea hakucheza na bayer fainal uefa
 
Mechi kati ya Chelsea na manchester united mwaka1999, wakati huo man ilikuwa man kweli! Lakini man siku hiyo iliangukia pua, ilipigwa goli 5-0! Hiyo ndiyo chelsea, wale wanaodhani chelsea ilianzia kutamba baada Abramovich kuinunua watakuwa ni watoto wa juzi sana!


Zola alipiga goli kwenye kibendera cha kona refa akakataa lile goli. ilitakiwa iwe 6-0
 
Back
Top Bottom