Ni media ipi naweza peleka matangazo na yakaenda viral

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Habari Wana jukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale namuomba mungu awatilie wepes kwa Kila jema mfanyalo katika harakati zenu

Kama kilivokichwa cha habari, Mimi ni mjasiriamali chipukizi Nina biashara yangu hivo naomba kupewa maoni na mawazo ni media ipi wanaweza kunitangazia biashara yangu vizuri na nikapata positive outcome
hasa kwa media za dar,
Na lingine ningependa kujua kati ya TV na redio ni wapi MATANGAZO yanaenda viral sana na kuwafikia wateja?
Asante.
 
Kwa TV tumia AZAM na upande wa Radio tumia Clouds na EFM. Kuhusu wapi utachagua kama unajiweza TV ni uhakika, ila kama hutamudu gharama za matangazo ya Television basi chagua kati ya vituo hivyo viwili vya matangazo
 
Kwanza inategemea ni biashara aina gani
Unawalenga kina nani hasa/wanunuzi wa bidhaa Yako?? Mfano unataka kuuza Madera kwa kina mama na kina dada basi itabidi utumie kipindi kama mashamsham,Leo tena na kile Cha kina dr.kumbuka, kwahiyo utatumia hizo redio pendwa
Pia hao walengwa wako wapi? Wanaishi wapi hasa? Kama ni sehemu hizo redio ziliko basi tumia hizo, kama wanaishi kigoma then unacheck huko kigoma ni redio gani hasa, sikushauri TV labda kama una bajet kubwa
Lakinini kwasasa social media ndio kiongozi wao, kama ni Madera kwa social media anza na facebook maana huko wauswahilini wote hicho ndo chanzo chao ukitoka whatsap
 
Kwa nature ya biashara yangu ya vipuli vya magari kwa Whatsapp Huwa napost ila sipati positive impact kutokana na kwamba asilimia kubwa ya viwers wangu hawana magari

Kwa upande wa facebok ndo Sjawahi kujaribu na Sina hata account 😄
Ila kwa ushaur wako mzuri nitafanya hivo

JE kwa nature ya biashara yangu nipeleke tangazo kipindi gani kwa hizo radio ulizotaja?
 
Kwa TV tumia AZAM na upande wa Radio tumia Clouds na EFM. Kuhusu wapi utachagua kama unajiweza TV ni uhakika, ila kama hutamudu gharama za matangazo ya Television basi chagua kati ya vituo hivyo viwili vya matangazo
Shukrani sana
 
Kwa nature ya biashara yangu ya vipuli i vya magari kwa Whatsapp Huwa napost iila sipati positive impact kutokana na kwamba asilimia kubwa ya viwers wangu hawana magari

Kwa upande wa facebok ndo Sjawahi kujaribu na Sina hata account 😄
Ila kwa ushaur wako mzuri nitafanya hivo

JE kwa nature ya biashara yangu nipeleke tangazo kipindi gani kwa hizo radio ulizotaja?
Huwa mnaidharau facebook ila kule pesa iko mjue, Facebook ina watu wengi sana active nadhani kuliko mtandao wowote kwa hapa Tz.

Na uzuri nowdays hizo video video hata Facebook zipo, za insta zipo za tiktok zipo kwahiyo huo mtandao una watu wengi.

Jaribu kuutumia mkuu.
 
Ushauri wa kutumia Facebook nimeupokea kwa mikono miwili nitaufanyia kazi. Hivi punde na create page account.
 
Kwa nature ya biashara yangu ya vipuli vya magari kwa Whatsapp Huwa napost ila sipati positive impact kutokana na kwamba asilimia kubwa ya viwers wangu hawana magari

Kwa upande wa facebok ndo Sjawahi kujaribu na Sina hata account 😄
Ila kwa ushaur wako mzuri nitafanya hivo

JE kwa nature ya biashara yangu nipeleke tangazo kipindi gani kwa hizo radio ulizotaja?
Vipuli peleka clouds kipindi Cha asbh Cha kina Masoud ingawaje ni expensive kidogo kulinganisha na hivi vya mchana, au kile cha jana na leo ya wasafi, ila kuwa makini na content

Cosmetics-mashamsham, Leo tena na hicho Cha dr.kumbuka, jana na Leo pia, but all in all itategemea unatangazaje inataka kaubunifu kidogo,.kama unataka waongelee wao (wanaita chombeza) au utengeneze tangazo

Lakini social media pia lazima iwepo, yaani uintergrate vyote kwa muda wa kampeni Yako

Kwakuongezea katika vipuli waweza ongea na yule kaka Yuko sana mitandaoni mtaalam wa magari na spea akakusaidia pia but unamlipa, on cosmetics side waweza fikiria kutumia influencer mmoja mwanamke unayeona huyu kweli kwenye hilo eneo...
 
Shukrani sana ubarikiwe
 
Inategemea na aina ya biashara
Ukubwa wa biashara
Uwezo wa biashara kusambaza bidhaa.

Kuna jamaa yangu alikuaa huko aliniambia. Kwa sasa matangazo mengi ya biashara kubwa yanaoneshwa kwenye kabla taarifa ya habari hasa hasa TBC1 na tv nyinginezo.
Kwa bidhaa za kulenga vijana cloudsfm/tv, efm na wasafifm/tv. Pia kulenga matangazo kwe mechi za mpira za simba au yanga zinazoneshwa azamtv
 
Ooh sawa sawa.
 
Back
Top Bottom