Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Habari wakuu,

Katika pitapita za hapa na pale huku jamvini huenda ukawa umempenda member fulani(wa kike) kutokana na michango yake.

Kwa upande wangu navutiwa sana na Mzigua90 .Vipi kuhusu wewe?
20180725_154207.jpg
 
Back
Top Bottom