Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Zipo nyingi hizi nyuzi ujue!uunganishwe na upi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo nyingi hizi nyuzi ujue!uunganishwe na upi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zingekuwa jukwaa la siasa, zingeungwa fastaaaHizi mada haziishi jamani kaah!
Mods unganisheni uzii
Manake wanawake wa humu Jf ndo tunaongoza kwa kujadiliwa.Zipo nyingi hizi nyuzi ujue!
Waunganishe tu zinachoshaaManake wanawake wa humu Jf ndo tunaongoza kwa kujadiliwa.
Wanaume sijui huwa wanatakaga nini aisee
Kesho watakuja na mada ya wanawake wenye vichwa vikubwa JfWaunganishe tu zinachoshaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kesho watakuja na mada ya wanawake wenye vichwa vikubwa Jf
Haahahaahaaaa. Dada vipi???
MfyuuuWashika pembe tiririkeni...
Hahahahaa. Kwani huwezi kumkubali rafiki ako mkuu mpaka umtafune?Mtaishia kufungua thread watafuna pochi manyoya ni wengineee
Namnyali mtoa mada.Haahahaahaaaa. Dada vipi???
Ndo upepo wake utakua.kumekuwa na wimbi la thread za aina hii ndani ya siku mbili zimekuja kama 6 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulikoni jaman
HahahahahaaKesho watakuja na mada ya wanawake wenye vichwa vikubwa Jf
Hahahahaa..Namnyali mtoa mada.
Kila siku mada za wanawake tu humu Jf.
Mwisho watakuja na wanawake wenye vipapa vikubwa humu Jf
Wanatukubali kimya kimyaNdo upepo wake utakua.
ni shortcut ya mitongozokumekuwa na wimbi la thread za aina hii ndani ya siku mbili zimekuja kama 6 hivi 😂😂😂😂 kulikoni jaman
Halafu ujumbe wangu uliuona pm?Wanatukubali kimya kimya
Kumbe eeehni shortcut ya mitongozo